LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 28, 2021

RAIS SAMIA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU WA BANDARI BAADA YA RIPOTI YA CAG, LEO



Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza uchunguzi Kufanyika wa TAKUKURU kwa BANDARI baada ya upotevu wa sh 3.6 bilioni na kumsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) Engineer Deusdedith Kakoko Mara moja kupisha uchunguzi wa upotevu wa Fedha hizo.

Rais ameagiza hayo wakati amepokea ripoti 21 za ukaguzi mwaka wa fedha 2019/2020, kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, leo Machi 28, 2021 Ikulu Chamwino Dodoma.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages