RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, wakati wa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, leo.(Picha na Ikulu)
Mar 3, 2021
Home
featured
Zanzibar
RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERA URATIBU NA BARAZA LA WAWAKILISHI.
RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERA URATIBU NA BARAZA LA WAWAKILISHI.
Tags
featured#
Zanzibar#
Share This

About Bashir Nkoromo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇