LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 26, 2021

NMB YASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA HAYATI DK. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO

Akiwakilisha Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Benki ya NMB, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB – Ruth Zaipuna na baadhi ya viongozi wa Benki hiyo ni miongoni mwa waombolezaji walioungana na familia, ndugu, jamaa na watanzania wote katika mazishi ya Buriani Hayati Dkt John Pombe Magufuli mjini Chato.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages