LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 10, 2021

'MWANAMKE KIONGOZI ASIYEWAINUA WENZIE KIMAENDELEO ANA NAFASI YAKE KUZIMU'+video

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (SeraBungeKaziVijanaAjira na Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga akiungana kuserebuka muziki na viongozi wanawake wa vyama 13 vya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) wakati wa ufunguzi wa Kongamano la wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dodoma Machi 7,2021. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake TUCTA, Rehema Ludanga akizungumza maneno ya utangulizi wakati wa kongamano hilo.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (SeraBungeKaziVijanaAjira na Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga  akihutubia wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo.
Ludanga akmvisha zawadi ya kitenge Naibu Waziri, Ummy Nderiananga 
Washiriki wakiimba nyimbo za hamasa.




Mkurugenzi wa Wanawake na Vijana wa Tucta, Siham Ahmed akizungumza  maneno ya utangulizi.
Katibu Mkuu wa Tucta, Said Wamba.
Rais wa Tucta,  Tumaini Nyamhokya.
Mwakilishi wa Chama cha Waajiri Tganzania (ATE), Anabahati Mlay.


Naibu Ktibu Mkuu TUGHE, Jane Mbura akito neno la shukrani kwa mgeni rasmi, Naibu Waziri Ummy.
 


Na Richard Mwaikenda, Dodoma

Mwenyekiti wa Kamati ya Wanawake wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Rehema Ludanga amesema Mwanamke ambaye ni kiongozi lakini hawezi kumuinua mwanamke mwenzie kimaendeleo ana nafasi yake kuzimu.


Maneno hayo machungu ameyazungumza wakati wa Kongamano la wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani lililofunguliwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu  anayeshughulikia watu wenye ulemavu, Ummy Nderiananga jijini Dodoma Machi 7, 2021. 


"KUNA nafasi yake kuzimu Mwanamke kiongozi ambaye ana nafasi ya kuwasaidia wanawake wenzie na hafanyi hivyo. Nafasi ya uongozi uliyoipata usiione kuwa ni ya kwako peke yako, ni ya wanawake wote,"amesema Rehema.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Rehema Luganga akiwapa somo hilo, lakini vile vile Rais wa Tukta, Tumaini Nyamhokya na Naibu Waziri Ummy Nderiananga wakihutubia wakati wa kongamano hilo ambalo pia iliendeshwa mada ya hatua muhimu za kujikinga na kukabiliana na janga la Corona mahala pa kazi...


Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages