LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 6, 2021

DAKTARI AFARIKI NA MUMUWE BAADA YA GARI LAO KUSOMBWA NA MAJI WAKIVUKA DARAJA, MPWAPWA, MUME ALIKUWA AKIMPELEKA KUWAHI KAZINI ZAMU YA USIKU

Daktari wa Hospital ya wilaya Mpwapwa mkoani Dodoma, Neema Mwasaganga na Mumewe (Pichani), wamefariki dunia walipokuwa wakijaribu kuvuka darajani kwa gari yao na ghagla gari yao hiyo ilichukuliwa na maji. 

Mume alikuwa anamsindikiza mkewe kwenda kazini zamu ya usiku. 😭😭

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages