LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 4, 2021

MATUKIO YA WABUNGE BUNGENI DODOMA LEO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) akiwa viwanja vya Bunge baada ya kuhudhuria kikao cha Bunge jijini Dodoma  Februari 4, 2021. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA



Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga akijadiliana jambo na wabunge wa Bunge la Vijana, Rehema Mahenge (katikati) na Amina Salumu kwenye viwanja vya Bunge.
Waziri wa Sheria na Katiba, Mwigulu Mchemba akizungumza na wabunge wa bunge la vijana waliolitembelea Bunge Dodoma leo.

Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Bunge la Vijana,Grace Nyanza kwenye viwanja vya Bunge.

Mbunge wa Mtwara Mjini, Seleman Hassan Mtenga (kushoto), akijadiliana jambo na Mbunge wa Mwanga, Joseph Thadeyo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages