LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 15, 2021

MAREHEMU DK. MUHAMMED SEIF KHATIB ALIKUWA MMOJA WA WADAU WAKUBWA WA KUKUZA LUGHA YA KISWAHILI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Dk. Mohamed Seif Hatib nje ya Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Januari 19, 2021, baada ya kufungua Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili. Khatibi amefariki Dunia leo mjini Zanzibar na inatarajiwa atazikwa kesho.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages