LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 17, 2021

CHANGAMOTO YA KUPUMUA YAMUONDOA UHAI MWANDISHI WA ITV/RADIO ONE VEDASTO MSUNGU, LEO

Vedasto Msungu


CCM Blog, Morogoro 

Mwandishi wa habari wa siku nyingi wa Kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One, Vedasto Msungu amefariki Dunia leo jioni, Jumatano Februari 17, 2021 katika Hospitali ya Rufani mkoani Morogoro.


Akithibitisha kifo hicho  Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo Dk. Ritha Lyamuya amesema, Msungu aliyekuwa amejikita zaidi katika Uandishi wa habari za Mazingira, alikuwa amelazwa katika hospitali hiyo kuanzia jana Jumanne Februari 16, 2021 baada ya kupata tatizo la kupumua.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages