LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 14, 2021

Slide: IBADA MAALUM YA KUINUA BIASHARA YA UTALII UKANDA WA MASHARIKI, ILIYOFANYIKA ARUSHA HIVI KARIBUNI

Baba wa Uzao Halisi wa Kanisa Halisi la Mungu Baba akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank  James Mwaisumbe, aliyekuwa mgeni rasmi kumwakilisha Mkuu wa mkoa wa Arusha, katika Ibada Maalum kubwa ya Kuinua Biashara ya Utalii Ukanda wa Kaskazini, iliyofanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, hivi karibuni. Tujimbushe tukio hilo kubwa na muhimu kwa taifa la Tanzania kwa kutazama picha mbali mbali za tukio hilo.

Tafadhali Bofya 'Play' 
kwenye Slide hii👇

 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages