Wazifri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Mwenyekiti wa Bodi ya VETA Peter Maduki (kushoto) wakikata utepe kufungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Chato mkoani Geita, baada ya Waziri huyo wa China kuwasili nchini, leo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Tanzania Profesa Joyce Ndalichako wakifunua pazia kuashiria kufungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Chato mkoani Geita, baada ya Waziri huyo wa China kuwasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya siku mbili.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇