Wakala wa Barabara Vijijini (Tarura) kupitia kwa Mratibu wa Mratiu wa Tarura Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Lusako Kilembe ameahidi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt Binilith Mahenge kupanda miti kando ya barabara za Jiji la Dodoma kuunga juhudi za kuibadilisha Dodoma kua ya Kijani.
Ahadi hiyo ameitoa baada ya kushiriki upandaji miti 3700 eneo la Iseni Park nyuma ya jengo la Hazina jijini Dodoma Januari 16, 2021. Imeandalia na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203 Your Ad Spot
Jan 19, 2021
TARURA YAAHIDI MBELE YA RC MAHENGE KUPANDA MITI KANDO YA BARABARA DODOMA
Tags
featured#
Mazingira#
Share This
About Richard Mwaikenda
Mazingira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇