LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 31, 2021

RAIS DK. MAGUFULI ATETA NA WATOTO BAADA YA KUHUTUBIA WANANACHI WA MANYONI MJINI MKOANI SINGIDA, LEO


"Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao":  Rais Dk. John Magufuli, akiteta jambo na watoto, baada ya kuwahutubia wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida, alikosimama akiwa safarini kutoka Tabora kwenda mkoani Dodoma, leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages