Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleimani Abdulla akimkabidhi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdalah Ulega Tuzo maalumu ya juu ya Shaban Robert aliyotuzwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendeleza Lugha ya Kiswahili. Tuzo hiyo alikabidhiwa wakati wa kilele cha Siku ya Kiswahili 2021, jijini Dodoma leo. Katikati Ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Zanzibar, Mhe.Tabia Maulid Mwita. Picha na Richard Mwaikenda
Your Ad Spot
Jan 20, 2021
RAIS ATUZWA TUZO YA JUU YA SHABAN ROBERT KWA KUENDELEZA KISWAHILI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleimani Abdulla akimkabidhi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdalah Ulega Tuzo maalumu ya juu ya Shaban Robert aliyotuzwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendeleza Lugha ya Kiswahili. Tuzo hiyo alikabidhiwa wakati wa kilele cha Siku ya Kiswahili 2021, jijini Dodoma leo. Katikati Ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Zanzibar, Mhe.Tabia Maulid Mwita. Picha na Richard Mwaikenda
Tags
Elimu#
featured#
Share This
About Richard Mwaikenda
featured
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇