MBUNGE wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe amefanya jitihada za kumuita Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), Victor Seif kukagua hali ya barabara jimboni humo na kuangalia jinsi ya kuzitafutia ufumbuzi.
Seif amekiri kuwa jimbo hilo lina barabara zisizofaa na kuahidi baadhi kuzitafutia ufumbuzi kwa kuzijenga na zingine kufanyiwa ukarabati.
Mdau unaomwa ufuatilie clip hii ya video umsikie Mtendaji Mkuu wa Tarura, Seif anavyoelezea baada ya kukagua ubovu wa barabara katika jimbo hilo na hatua za haraka atakazozichukua.....
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇