LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 19, 2021

MAKAMU MWENYEKITI WA LAAC, ZEDI AAHIDI KUZISIMAMIA IPASAVYO RASILIMALI ZA UMMA ZINAZOPELEKWA HALMASHAURI


 Kamati ya LAAC imeteuliwa jana na Mh Spika, Job Ndugai na leo hii wajumbe wa kamati wameanza kupewa mafunzo ya wiki moja ya kuwajengea uwezo ili waweze kusimamia matumizi ya rasilimali za umma zinazopelekwa kwenye Halmashauri  zote 185 Tanzania.


"Kwa mujibu wa majukumu yetu kikanuni, tutahakikisha rasilimali za umma zinazopelekwa halmashauri zinatumika kama zilivyokusudiwa, na matumizi yote yanafanyika kwa mujibu wa sheria ya fedha ya Serikali za Mitaa," amesema
Selemani Zedi Mbunge wa Bukene ambaye ni Makamu Mwenyekiti Kamati ya Laac.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages