LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 3, 2021

MAJERUHI WA AJALI YA TRENI WALIVYOPOKELEWA USIKU HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA DODOMA

Majeruhi wa ajali ya Treniya Reli ya Kati wakipokelewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma usiku tayari kupatiwa huduma za matibabu. Watu watatu walikufa na 66 kujeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea eneo la Kigwe, Bahi mkoani Dodoma. Picha zote na Richard Mwaikenda





















 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages