LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 20, 2021

KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS-MUUNGANO JIJINI DODOMA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe. Mwita Waitara akizungumza wakati wa kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Josepoh Sokoine.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Mohamed Mchengerwa akiongoza kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Mohamed Mchengerwa wakiwa katika lkikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu akifafanua jambo wakati wa kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021.

Mkurugenzi wa Idara ya Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kulia) pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Idara hiyo Lupi Mwaikambo wakiwa katika kikao cha kupokea na kujadili Taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Januari 20,2021.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages