LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 19, 2020

WAZIRI WA ZAMANI DK. PIUS NG'WANDU AFARIKI DUNIA MJINI BARIADI

Mbunge wa zamani wa jimbo la Maswa ambaye amewahi kuwa Waziri was Wizara ya Sayansi na Teknolojia na pia Balozi was Tanzania Tokyo, Japan Dk. Pius Ng'wandu amefariki dunia.


Taarifa zimesema, Dk. Ng'gwandu amefariki Usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi ambako alipelekwa haraka baada ya kupata matatizo ya presha.


Dk. Pius Yasebasi Ng’wandu aliwahi kuwa balozi wa Japan Tokyo 1990 hadi 1993, Waziri wa Sayansi na Teknologia mwaka 2000 hadi 2008.


Alipofunga ndoa hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages