LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 22, 2020

WANANCHI MWANZA WAPIGANA VIKUMBO MTAA WA MAKOROBOI MWANZA KATIKA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA

Wananchi Jijini Mwanza wakiwa katika pilikapilika ya maandalizi ya Krismasi na Mwaka Mpya katika mtaa wa Makoroboi Jijini Mwanza leo Disemba 22, 2020.  




Mfanya Biashara ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwaonesha nguo wateja wake ambapo nguo hiyo anaiuza Sh. 30,000.  
Akina mama wakiangalia nguo katika Mtaa wa Makoroboi Jijini Mwanza 
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages