LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 31, 2020

WAITARA AANGIZA KUUNDWA TUME KUCHUNGUZA UBADHIRIFU WA SH. BILIONI 19 ZA UJENZI WA DAMPO, GEITA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mwita Waitara (pichani kushoto), amewataka Katibu Tawala wa mkoa wa Geita na wa mkoa wa Mwanza waunde Tume ya kuchunguza ubadhirifu wa matumizi ya fedha zaidi ya Sh. Bilioni 1.9 zilizotolewa na Benki ya Afrika kujenga dampo katika mji wa Geita ambalo amesema haikidhi kiwango cha ubora unaotakiwa. Taarifa kamili, Bofya hapo👇



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages