LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 1, 2020

SPIKA NDUGAI: MDEE, WENZAKE 18 BUNGE LINAWATAMBUA LABDA WAJIUZULU WAO+VIDEO

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema Wabunge wote walioapishwa wanatambulika kama wabunge halali wa Bunge la 12 wakiwamo 19 wa CHADEMA.

“Nashangaa wanawasonga hawa 19, huyo mmoja ‘wamembwaya’? Wakiweza wamfukuze lakini sisi tumeshamuapisha na tunamtambua, hayo yanayoendelea huko ya kwao” Spika Ndugai


No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages