LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 3, 2020

NMB YAKABIDHIWA CHETI KWA KUDHAMINI KONGAMANO LA UGAVI NA UNUNUZI ARUSHA

 


 

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti, Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB – Benedicto Baragomwa(kushoto) kutambua mchango wa Benki hiyo kudhamini Kongamano la 11 la Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi(PSPTB) linalofanyika jijini Arusha,wa pili kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro – Anna Mghwira.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages