LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 21, 2020

NACTE YATUNUKIWA TUZO NA CHAMA CHA WALIMU WAKUU WA SEKONDARI TANZANIA (TAHOSSA)+VIDEO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Seleman Jafo
akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mafunzo ya Ufundi (NACTE), Dkt. Adolf Tutayuga Tuzo maalumu iliyotolewa na Chama cha Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA) kwa kutambua mchango wake katika sekta ya elimu nchini.Hafla hiyo imefanyika , wakati wa Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Desemba 21, 2020. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete ndani ya Kituo cha  Mikutano cha Dodoma Desemba 21, 2020.
Sehemu ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tahossa
Baadhi ya walimu wakuu wa shule za sekondari nchini wakipiga makofi kufurahishwa na hotuba ya Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo.
Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo (kulia), akizungumza na Katibu Mtendaji wa Nacte, Dkt. Rutayuga alipotembelea banda la Nacte kwenye maonesho maalumu yaliyofanyika sambamba na mkutano huo mkuu.
Dkt. Rutayuga akizungumza na vyombo vya habari kuhusu utendaji wa Nacte.

Mmoja wa wadau wa elimu akisaini kwenye kitabu alipotembelea banda la Nacte.

 SIKILIZA CLIP YA VIDEO HII DKT RUTAYUGA AKIZUNGUMZA NA VYOMBO HABARI KUHUSU UTENDAJI WA  NACTE

Imeandaliwa na; Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages