LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 18, 2020

BI HARUSI MTARAJIWA SANGO SWEDI AKIWA KATIKA MAANDALIZI YA KUSHEREHEKEA SIKU HIYO.

Bi harusi Mtarajiwa Sango Swedi akiwa katika Pozi
Bi harusi Mtarajiwa Sango Swedi akipambwa na mpambaji toka Tabby Salon iliyopo Iringo Musoma

Bi harusi Mtarajiwa Sango Swedi akiwa katika Pozi
Bibi wa  zake Bi Harusi Mtarajiwa Sango Swedi Mussa Bilali wakifatilia jambo wakati mjukuu wao akitunzwa katika afla fupi iliyofanyika kwao eneo la Kigera Bondeni Musoma ambapo Ndoa inatarajiwa kufungwa Disemba 19, 2020, Saa 4 asubuhi nyumbani kwao Bi harusi mtarajiwa na kufuatiwa na tafrija fupi itakayofanyika katika Kijiji cha Seka Musoma Vijijini nymbani kwa bwana Harusi
Mashangazi na ndugu na jamaa wa Bi Harusi Mtarajiwa Sango Swedi Mussa Bilali wakitoa burudani



Bi Harusi Mtarajiwa Sango Swedi Mussa Bilali akiwa na marafiki zake
Bi Harusi Mtarajiwa Sango Swedi Mussa Bilali akiwa na Mama yake mzazi Mariam Omary (kulia)




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages