LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 22, 2020

ALIYEMKATA MKONO MKEWE APEWA DHAMANA HUKU AKIJIFICHA KWA SHUKA

 

Mahakama ya wilaya ya Arumeru imeahirisha kesi inayomkabili Ombeni Alfayo Mollel anayekabiliwa  kwa kosa lakufanya shambulio lakujaribu kumuua mke wake kwa kumjeruhi nakusababisha kiganja cha mkono wa kulia kutengana na mkono.Mtuhumiwa huyo kwa sasa ameachiwa kwa dhamana.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages