LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 17, 2020

MAJALIWA, NDUGAI KUHUDHURIA HAFLA YA WABUNGE WAPYA WANACHAMA WA SIMBA KUTAMBUANA DODOMA




 Mwenyekiti wa Tawi la Klabu ya Simba Bungeni, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo, kuhusu hafla maalumu ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na tawi hilo kwa ajili ya kutambuana wakiwemo wabunge wapya wanachama wa klabu hiyo. Hafla hiyo  ambayo mgeni rasmi atakuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai itafanyika kesho Novemba 18, 2020 kwenye Ukumbi wa LAPF, jijini Dodoma. Pia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atahudhuria. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Barbara Gonzalez na Meneja wa Tawi la Benki ya Equity Dodoma, Upendo Makula. Picha na PICHA NA RICHARD MWAIKENDA


Wanahabari waliohudhuria mkutano huo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages