Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkarisha Rais mpya wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi kumakabidhi rasmi dhamana za uongozi, Rais huyo mpya alipofika Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kuapishwa katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Amaani, leo.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Rais mpya wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi kumakabidhi rasmi dhamana za uongozi, Rais huyo mpya alipofika Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kuapishwa katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Amaani, leo.
Your Ad Spot
Nov 2, 2020
Home
featured
siasa
RAIS MPYA WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI ATINGA RASMI IKULU BAADA YA KUAPISHWA, LEO
RAIS MPYA WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI ATINGA RASMI IKULU BAADA YA KUAPISHWA, LEO
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇