LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 8, 2020

RAIS DK. MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA DOMINIKA YA 32 MWAKA 'A' KATIKA PAROKIA YA BIKIRA MARIA IMAKULATA CHAMWINO IKULU, DODOMA, LEO

Rais Dk. John Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu toka kwa Padre Paul Mapalala waliposhiriki Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A" katika Parokia ya Bikira Maria Imakulata Chamwino Ikulu Dodoma leo Jumapili Novemba 8, 2020. Kushoto ni Mama Janet Magufuli akisubiri naye kupokea sakramenti hiyo. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages