LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 29, 2020

POLEPOLE, RIZIKI WATEULIWA NA RAIS DK. MAGUFULI KUWA WABUNGE, LEO

Humphrey Polepole
CCM Blog

Rais Dk. John Magufuli amewateua Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole na Riziki Said Lulida kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya  Rais, Ikulu Chamwino jijini Dodoma, Gerson Msigwa imesema, Wabunge hao wateule wataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1 comment:

  1. Asante kwa kutujuza kinachoendelea shukhuran kwa polepole kazi ameifanya kweli na imeonekana

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages