LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 26, 2020

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AWASILI BOTSWANA LEO

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama  Nchini Botswana leo.

Mama Samia amewasili nchini kushiriki katika mkutano wa dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Botswana, Malawi na Zimbabwe amazo ni nchi zinazochangia vikosi vya Ulinzi  wa Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa  nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa kilichopo katika nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages