LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 2, 2020

MAANDALIZI KWA AJILI YA SHEREHE ZA KUAPISHWA DK. MAGUFULI KATIKA UWANJA WA JAMHURI JIJINI DODOMA YAIVA

Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, umeng'ara na kuwa na muonekano wa kipekee kutokana na kunakshiwa ikiwa maandalizi ya Sherehe za kuapishwa Rais Mteule wa Tanzania ambaye ni Rais anayemaliza muhula wake wa kwanza Dk. John Magufuli, kama picha hizi mbalimbali zilizopigwa  leona na Mpigapicha wetu Richard Mwaikenda zinavyoonesha. Sherehe hizo zimepangwa kufanyika Wiki hii, Novemba 5, 2020 katika Uwanja huo. 








 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages