LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 21, 2020

KOMRED KHERI AKAGUA ENEO LITAKALO JENGWA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA

 

      

********************************************

DODOMA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Kheri James leo amekagua eneo litakalojengwa Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Dodoma.


Ukaguzi huo akiwa ameambatana na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM  Mkoa wa Dodoma pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanao wakilisha Kundi la Vijana.

Ujenzi wa Ofisi hiyo ya Makao Makuu una tarajiwa kuanza hivi karibuni na kuwekwa jiwe la msingi mwanzoni mwa mwezi Januari Mwaka 2021.

Aidha Komred Kheri amezungumza Na Wenyeviti na Makatibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya zote za CCM Jijini Dodoma wakiongozwa na Mwenyekiti wa Mkoa huo Billy Chidabwa Katika kikao kilichofanyia Ofisi za CCM Mkoa wa Dodoma.

Katika Kikao hicho komred Kheri amewapongeza Viongozi hao kwa kazi nzuri waliyofanya katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages