LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 6, 2020

JPM AMTEUA TENA PROF. KILANGI KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI


Ikulu, Chamwino.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.


Taarifa iliyotolewa na Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, Novemba 5, 2020 imesema uteuzi huo unaanza leo tarehe 06 Novemba, 2020 na kwamba Prof. Kilangi ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya uteuzi wa kipindi cha kwanza kumalizika leo tarehe 05 Novemba, 2020.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages