Mawaziri hao na Wizara mbili ambazo Rais ameziacha kiporo kuteua maziri wake ni kama ifuatavyo;👇
2. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) - Masoud Ali Mohammed.
3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba na Utawala Bora - Haroun Ali Suleiman.
4. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango - Jamal Kassim Ali.
5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi - Dk. Khalid Mohammed Salum.
6. Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji na Mifugo - Soud Nahoda Hassan.
7. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali - Simai Mohammed Said
8. Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni - Tabia Mwita Maulid.
9. Wizara ya Biashara ya Maendeleo ya Viwanda. Bado hajateua Waziri.
10. Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi - Riziki Pembe Juma.
11. Wizara ya Maji na Nishati - Suleiman Masoud Makame.
12. Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto. Bado hajateua Waziri.
13. Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale - Lela Mohammed Mussa.
14. Wizara ya Uchumi wa Bluu na Uvuvi - Abdallah Hussein Kombo.
15. Wizara ya Ujenzi - Rahma Kassim Ali.
Mawaziri Wote wataapishwa Jumamosi Novemba 21 Saa 5 asubuhi.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇