LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 18, 2020

DIWANI WA KIVUKONI SHARIK CHOUGHLE ATAFUTA UFUMBUZI KERO YA KUJAA MAJI BARABARA ZA SAMORA NA PAMBA ROAD NYAKATI ZA MVUA

Diwani wa Kata ya Kivukoni Ilala jijini Dar es Salaam, Sharik Choughle akiwa katika picha mbalimbali wakati akikagua Barabara za Samora na Pamba Road jijini Dar es Salaam, ambayo imekuwa ikijaa maji mvua zinaponyesha. Choughle amesema, barabara hizo zimekuwa zikijaa maji kutokana na mitaro kuwa ya zamani na haijafanyiwa ukaguzi wala ukarabati kwa mda mrefu. Amesema ataiomba Manispaa ya Ilala kushughulikia kero hiyo, ambayo imekuwa ikileta shida kubwa hata kwa wasiokuwa wakazi wa Mitaa ziliko barabara hizo ambao huitumia wanapokuwa na shughuli zao mjini. Picha zaidi👇

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages