LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 2, 2020

TUNDU LISSU WA CHADEMA AFUNGIWA SIKU 7 KUFANYA KAMPENI

 

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha Tundu Lissu, mgombea urais kupitia CHADEMA kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia kesho Jumamosi hadi 9 Oktoba 2020 kutokana na kukiuka maadili ya uchaguzi.

Kwa mujibu ya taarifa ya NEC malalamiko yalitolewa na vyama vya NRA na CCM.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages