LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 8, 2020

SHUHUDIA DHIFA YA KITAIFA ILIYOANDALIWA NA RAIS DK. MAGUFULI KWA AJILI YA MGENI WAKE RAIS WA MALAWI DK. CHAKWERA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakigonganisha glasi na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020. Rais huyo wa Malawi, yupo hapa Nchini akifanya ziara ya Kitaifa ya siku tatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera walipokuwa wakiwasilli kwenye  dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wa dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akimueleza jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Malawi Mhe. Eisenhower Mkaka wakati wa dhifa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alimuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Ben Mashiba akifuatiwa na Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Chembe Munthali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam katika Dhifa ya Kitaifa ambayo alimuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam katika Dhifa ya Kitaifa ambayo alimuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakigonganisha glasi wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwa mgeni wake huyo Ikulu jijini Dar es salaam, usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akigonganisha glasi na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akongea wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwa mgeni wake huyo Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakiwa wamesimama kwa ajili ya nyimbo za Taifa wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.


Wanamuziki wa Bendi ya Kilimanjaro "Wana Njenje" wakitoa burudani wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy ChakweraIkulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakiongea na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba  baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa Oktoba  7, 2020. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages