LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 17, 2020

SAMATTA MAZOEZINI FENERBAHCE IKIJIANDAA NA MECHI YA LIGI KUU YA UTURUKI

 


Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa mazoezini na klabu yake, Fenerbahçe Jijini Istanbul kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki dhidi ya wenyeji, Goztepe Jumapili kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Goztepe Gursel Aksel Jijini İzmir .

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages