LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 8, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AWATUNUKU KAMISHENI MAOFISA WA IDARA MAALUM ZA SMZ LEO VIWANJA VYA KAMBI YA KMKM KAMA WILAYA YA MAGHARINI "A" UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride la Maalum la Maofisa wa Idara Maalum za SMZ kabla ya Kuwatunuku Kamisheni katika hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Kama KMKM leo

KIKOSI cha Bendera kikitowa shaluti kwa mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein.(hayupo pichani) kwa mwendo wa polepole wakati wa hafla ya kutunukiwa Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo

MAOFISA wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar KMKM wakiwa katika gwaride Maalum baada ya kutunukia Kamisheni na Rais wa Zanzibare na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika Kambi ya Kikosi Maalum cha  Kuzuiya Magendo Zanzibar (KMKM) Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 8/10/2020.(Picha na Ikulu)


 GWARIDE la Kikosi cha KVZ wakipita kwa mwendo wa kasi wakati 
wakitowa heshima kwa mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wakipita jukwaa kuu la Viongozi katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya  Magharibi “A” Unguja leo.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages