LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 5, 2020

NICOLAS PEPE NA BUKAYO SAKA WAFUNGIA ARSENAL YASHINDA 2-1



Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akimpongeza Nicolas Pepe baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 64, kufuatia Bukayo Saka kufunga la kwanza dakika ya 62 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sheffield United ambayo bao lake lilifungwa na David McGoldrick dakika ya 83 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London jana
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages