Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewatembelea majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, ambapo walijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇