LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 12, 2020

MAMA SAMIA ALIVYOFUNIKA UWANJA WA NDUWA SUMBAWANGA MJINI MKOANI RUKWA LEO

Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kumsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wake wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Uwanja wa Nduwa, Sumbawanga mjini mkoani Rukwa, leo.
Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kumsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wake wa kampeni za CCm uliofanyika leo katika Uwanja wa Nduwa, Sumbawanga mjini mkoani Rukwa, leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akiomba kura za CCM, hususan za Mgombea Urais wa CCM Dk. John Magufuli katika mkutano wake wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Uwanja wa Nduwa, Sumbawanga mjini mkoani Rukwa, leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mgombea Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilal wakati wa mkutano wake wa kampeni za CCm uliofanyika leo katika Uwanja wa Nduwa, Sumbawanga mjini mkoani Rukwa, leo. Katikati ni Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM mkoa wa Rukwa Sospeter Kasawanga
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama samia Suluhu Hassan akilakiwa na Viongozi mbalimbali alipowasili katika mkutano wake wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Uwanja wa Nduwa, Sumbawanga mjini mkoani Rukwa, leo.

 Wasanii wa Kundi la Yamoto wakichangamsha jukwaa baada Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama samia Suluhu Hassan kuhutubia katika mkutano wake wa kampeni za CCm uliofanyika leo katika Uwanja wa Nduwa, Sumbawanga mjini mkoani Rukwa, leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages