LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 30, 2020

DK. MWINYI ASHINDA URAIS ZANZIBAR

 


********************************************

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr.Hussein Mwinyi wa CCM kuwa Rais Mteule wa Zanzibar kwa ushindi wa kura 380,402 sawa na 76.27%. akifuatiwa na Maalim Seif wa ACT Wazalendo mwenye kura  96,103 sawa na 19.87%.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages