LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 30, 2020

MRISHO GAMBO AMG'OA GODBLES LEMA UBUNGE ARUSHA MJINI

 


Mrisho Gambo wa CCM ametangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa kura 82,480 dhidi ya Godbless Lema wa CHADEMA aliyepata kura 46,489. Aidha CCM imeshinda udiwani katika kata 25 huku CHADEMA ikiambulia kata moja.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages