Mgombea Urais
kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia
Wananchi wa Kondoa mjini wakati akielekea Mkoani Dodoma leo tarehe 26 Oktoba
2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Bereko wakati akitokea Babati mjini leo tarehe 26 Oktoba 2020.
Sehemu ya Wananchi wa Babati na Kondoa wakishangilia wakati Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia njiani wakati akielekea mkoani Dodoma leo tarehe 26 Oktoba 2020.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇