Mbunge Mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa kupitia CCM, Dk. Ritta Kabati akielezea sera nzuri za CCM kwa wanawake na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano alipokuwa akifanya kampeni kwa kuzungumza na wahudumu wa Baa za Manispaa ya Iringa Mjini ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kutafuta kura za Mgombea Urais wa Tanzania kupita CCM, Dk. John Magufuli, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM, Jesca Msambatavangu pamoja na wagombea udiwani wa CCM.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)CCM Iringa Mjini, Ashura Jongo akiomba kura kwa wahudumu wa baa katika kikao maalumu kilichofanyika mjini Iringa.
Your Ad Spot
Sep 28, 2020
Home
featured
siasa
Video: DK KABATI AONGOZA KUZITAFUTA KURA ZA DK MAGUFULI KWA WAHUDUMU WA BAA IRINGA
Video: DK KABATI AONGOZA KUZITAFUTA KURA ZA DK MAGUFULI KWA WAHUDUMU WA BAA IRINGA
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Richard Mwaikenda
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇