MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia
Kibanda Maiti Jijini Zanzibar
/WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya (CCM) Mhe Dk. Hussein Mwinyi wakati akihutubia na katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini
RAIS Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dkt. Amani Karume, Mama Fatma Karume, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Sheinna Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika jukwaa la Viongozi wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia kabla ya
kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi, katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kufungua Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini ZanzibarMWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi akimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za kuwatambulisha Wagombea wa Ubunge na Uwakilishi, uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MSANII wa muziki wa Taarab Aisha Mashauzi akitowa burudani wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi.(CCM) ukiofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
/MSANII wa Bongo Flava Ali Kiba akitowa burudani wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar
Your Ad Spot
Sep 12, 2020
Home
featured
siasa
UZINDUZI WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM WAFANYIKA LEO
UZINDUZI WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM WAFANYIKA LEO
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇