Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM, uliohudhuriwa na maelfu kwa maelfu ya wananchi waliokuwa na shauku ya kumuona na kumsikiliza, leo.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akishangilia na wananchi alipowasili katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM, uliohudhuriwa na maelfu kwa maelfu ya wananchi waliokuwa na shauku ya kumuona na kumsikiliza, leo.Utitiri wa wa maelfu ya wananchi waliofurika wakati Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli alipowasili katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM, leo.Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John. Magufuli akihutubia na kuomba kura wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Taboram leo.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akihutubia na kuomba kura wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇