LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 25, 2020

TFF YAINGIA MKATABA NA MKANDARASI KWA AJILI YA KUJENGA VITUO VYA MAENDELEO YA SOKA DAR NA TANGA



RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzana (TFF), Wallace Karia (katikati) akiwa na Mkandarasi Yi Xiaobo wa kampuni ya Group Six International wakionesha mikataba ya ujenzi wa vituo vya mpira wa miguu vya Dar es Salaam na Tanga uliosainiwa jana Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athumani Nyamlani 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages