LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 1, 2020

SIMBA SC YAITANDIKA ARUSHA FC 6-0 MECHI YA KIRAFIKI ARUSHA

 

Kiungo wa Simba SC, Luis Miquissone raia wa Msumbiji (kulia) akishangilia bada ya kuifungia timu yake hiyo mabao matatu dakika za 64, 76 na 88 katika ushindi wa 6-0 dhido ya Arusha FC kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Aruaha. Mabao mengine ya Simba yamefungwa na mshambuliaij Meddie Kagere mawili dakika ya tano na 34 na Mzambia, Larry Bwalya dakika ya 24                  

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages